EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 9, 2012

KENYA YAVUNJA REKODI FAINALI ZA OLYMPIQ INCHINI UINGEREZA.

Ikiwa ni siku chache toka michuano hiyo kuanza na ambapo inategemewa kutia nanga mwishoni mwa wiki hii hatimaye leo mwanariadha David Rudisha toka nchini kenya ameonyesha makucha yake na kutengeneza heshima kwa nchi yake licha ya nchi hiyo kushika nafasi ya 30 kidunia kwa upataji wa medani mbalimbali za michuano hiyo, hatimaye leo Alhamisi ya tar 09/08/212 kwa kuvunja rekodi au kuweka rekodi ya kukimbia mzunguko wa 800m kwa kutumia dakika 1:40:91 katika mzunguko wa fainali ambayo kwa upande wa wanaume kenya iliingiza wanariaeha wake watatu.

No comments:

Post a Comment