:Mbunge wa
Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe
akimjulia hali na kumpa pole Ndugu Shaaban Issa mmoja wa majeruhi watatu
wa ajali ya a gari iliyotokea Mtama na kusababisha vifo vya watu 8.
Mbunge wa
Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe
pamoja na Katibu
wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye wakizungumza na waginjwa waliolazwa kwenye hospitali ya Nyangao
mkoani Lindi ambapo wengi wao ni wa ajali za pikipiki.
Mbunge wa
Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe
pamoja na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye wakimsikiliza
Mzee Selemani Chitanda ambaye ameondokewa na mtoto wake wa kiume Maliki
S. Chitanda kwenye ajali mbaya ya gari lililoacha njia wakati dereva
akijaribu kumkwepa mbuzi na kusababisha vifo vya watu 8.g5.Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Mhesimiwa Bernard Membe akisalimiana na Salum Said Mchora ambaye amepoteza mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 23 Said S. Mchora mkazi wa Masasi,Majengo.
Watu 8 wamepoteza maisha na wengine watatu kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyotokea Mtama tarehe 8/8/2014
Picha na Adam H. Mzee