EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Monday, January 20, 2014

TENIS MTWARA YAHITAJI KUWEZESHWA

NA: KASSIM NGUMBI
Moja Kati Ya Walimu Mashughuli Wa Mchezo Wa Tenis Nchini Ambaye Pia Kwa Kipindi Cha Nyuma Alikuwa Akifundisha Mchezo Huo Mkoani Mtwara Mwl: Ali Hassani Amewataka Wadu Wa Michezo Mkoani Mtwara Na Kwingineko Kote Nchini Kumsaidia Vifaa Vya Michezo Vinavyohusiana Na Mchezo Huo Ili Aweze Kueendelea Kufufua Vipaji Vya Watoto Wadogo Wali Na Ndoto Za Kucheza Mchezo Huo MW: Ali Alikutana Na Swacotz Forum Mkoani Mtwara Na Kuiambia Kuwa Anashindwa Kuendeleza Zoezi Hilo Muhimu Kutokana Na Kukosa Nguvu Ya Kuendeleza Mchezo Huo Kwakua Uwzo  Wake Kifedha Si Mzuri Hata Hivyo Alisema Kuwa Awali Alipata Wadhamini Lakini Kutokana Na Kadhia Ya Vurugu Za Masuala Ya Gesi Wadau Hao Walishindwa Kumsaidia Kwani Waliondoka Mkoani Kurudi Kwao Nje Ya Nchi Kwa Kuhofia Vurugu Hizo Suala Ambalo Lilimrudisha Nyuma Sana Na Kwa Sas Amesema Amejaribu Kutafuta Vifaa Baadhi Kwa Nguvu Zake Na Anaomba Wadau Kumpa Sapoti  ya ukarabati wa uwanja atakaoutumia kwa shughuli hizo ambao upo maeneo ya shangani East mtwara na vifaa vingine kama vile neti na vitu ambavyo vinahitajika kwa ukarabati ni rangi na vingine vidogovidogo.
ZAIDI MSIKILIZE HAPA AKIELEZA………………………

No comments:

Post a Comment