EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Monday, January 20, 2014

KOROSHO NA IRANI ZAIMALIZA CCM MKOANI MTWARA MZEE WA MIAKA 93 AIKANA HADHARANI HUKU KATIBU WA CHAMA NAYE AKIKISHUSHUA CHAMA HICHO KUWA KINAJIMALIZA CHENYEWE KWA UDANGANYIFU WAKE



NA: KASSIM NGUMBI
 Chama Cha Mapinduzi Ccm Kimeonekana Kutupiwa Lawama Nyingi Na Wakazi Wa Maeneo Ya Nanyamba Mkoani Mtwara Kwa Kile Walichokiita Kuwa Udanganyifu Na Hali Ya Kutotekereza Irani Za Chama Ambazo Zimeahidiwa Katika Kampeni Za Uchaguzi Za Miaka Kadhaa Iliyopita Ikiwemo 2010,Moja Kati Ya Kero Kubwa Inayopelekea Chama Hicho Kusini Kushuka Thamani Kwa Sasa Au Itakayopelekea Chama Hicho Kuporomoka Ni Barabara Ya Kutoka Mtwara Mjini Kuelekea Wilayani Newala Mpaka Masasi Ambayo Kwa Kiasi Kikubwa Ni Mbovu Na Imekuwa Ikilalamikiwa Kwa Muda Mrefu Sana.Haya Yameeelezwa Na Moja Kati Ya Wazee Wa Zamani Ambaye Pia Ni Mfuasi Wa Chama Hicho Toka Enzi Za Tanu NDG Ali Said Tandi Mkazi Wa Chikwaya Mkoani Mtwara Wilaya Ya Mtwara Almashauri Ya Mtwara Vijijini Katika Maelezo Yake Ndg Tandi Alisema Anashangazwa Na Hatua Ya Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi Kushindwa Kuijenga Barabara Hiyo Na Badara Yake Imekuwa Ni Barabara Ya Kampeni Na Mpaka Inafikia Hatua Inaitwa Barabara Ya Iko Mbioni Neon Linalotokana Na Kauli Za Viongozi Kila Wanapoulizwa Kuhusu Barabara Hiyo Na Majibu Yake Kuwa Ni Iko Katika Upembuzi Yakinifu Au Iko Mbioni.
“kero kubwa ni barabara barabara ni chafu sana lakini mpaka leo hakuna rami hakuna nini na barabara hii ni kubwa inazalisha mazao mengi ya uchumi wa Tanzania lakini imetupwa” alisema mzee tandi katika maelezo yake .
kwa upande mwingine moja kati ya viongozi wa kiwilaya ambaye ni katibu wa ccm alieleza kukelwa kwake na tabia ya viongozi wa chama hicho ya kutotekereza ilani zake kwa baadhi ya sehem na kusema kuwa inafika wakati wao kama viongozi wa wilayani wanashindwa kusimama jukwaani na kumnadi mgombea wa ccm kwa kuona aibu juu ya utekerezaji wa ilani katika awamu inayomalizika……………..
ZAIDI SIKILIZA HAPA BABU NA HUYO KATIBU WAKIONGEA…………..

No comments:

Post a Comment