EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, October 17, 2013

UMOJA WA MATAIFA WATUMA WATU AFRIKA YA KATI KUIUNGA MKONO NCHI HIYO



Ofisi ya Umoja wa Mataifa inayoratibu mambo ya kibinadamu, imesema wakurugenzi wa mambo ya dharura wa mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, na mashirika yasiyo ya kiserikali hii leo wanaanza ziara yao nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. 
katibu mkuu UN-Ban ki Mun

Katika ziara hiyo inayotarajiwa kumalizika Jumamosi, ujumbe huo utajadili njia za kuongeza uungaji mkono katika mambo ya kibinaadamu nchini humo.Pia Ijumaa watatembelea miji ya Bossangoa na Kaga Bandoro kuangalia matokeo ya mgogoro na juhudi za misaada.

No comments:

Post a Comment