EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, October 31, 2013

MAN CITY NA MAN UNITED ZATENGANISHWA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI, SPURS YAPEWA WEST HAM, CHELSEA...


KLABU ya Tottenham itamenyana na West Ham katika Robo Fainali za Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One wakitakiwa kulipa kisasi cha kufungwa mabao 3-0 katika Ligi Kuu  mwezi huu.
Spurs ilipigana na kutoka nyuma kwa mabao 2-1 katika dakika za nyongeza na kuipiga Hull Jumatano mabao 8-7 kwa mikwaju ya penalti.
Katika mechi nyingine za hatua hiyo ya michuano hiyo, Manchester United itasafiri hadi Stoke wakati Manchester City itamenyana na Leicester.



Edgy: Tottenham celebrate beating Hull in a penalty shoot-out to progress to the last eight
majembe ya Hill city

City haijatwaa taji hilo tangu mwaka 1976 walipoifunga Newcastle 2-1, na walika The Magpies waliotolewa na timu hiyo katika Raundi ya Nne Jumatano, mabao ya Alvaro Negredo na Edin Dzeko Uwanja wa St James Park

.
Kept apart: Manchester United (above) and Manchester City both face trips away in the quarter-finals
Kept apart: Manchester United (above) and Manchester City both face trips away in the quarter-finals
Manchester City
baadhi ya wachezaji wa timu ya man city



No comments:

Post a Comment