EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Monday, August 5, 2013

RIPOTI YA MAUAJI YA ARUSHA YAVUJA....


  HATIMAYE ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, kuhusu vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu na mauaji yaliyotokea Arusha Januari 5, 2011 kwenye maandamano ya CHADEMA imevuja.Licha ya ripoti hiyo kufichwa kwa kutosomwa hadharani kwenye vyombo vya habari kutokana na kulishutumu moja kwa moja Jeshi la Polisi, Tanzania Daima imefanikiwa kuinasa.Maandamano hayo ya CHADEMA ya kupinga ukiukwaji wa kanuni na sheria katika uchaguzi wa Meya ya Manispaa ya Arusha, Gaudence Lyimo, licha ya kuruhusiwa na polisi awali baadaye yalipigwa marufuku na Mkuu wa Jeshi hilo nchini, IGP Saidi Mwema.Hata hivyo, CHADEMA walikataa kutii...

No comments:

Post a Comment