EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Sunday, July 28, 2013

WABUNGE WA CCM WANAOHUSISHWA NA TUHUMA ZA DAWA ZA KULEVYA HAWA HAPA IDDI AZANI AKIWEMO


Ni jambo la wazi  wamba biashara ya madawa ya kuleya   ni biashara ambayo mara nyingi hubebwa na watu wenye nazo au wenye madaraka fulani makubwa.Ni biashara ambayo ina faida kubwa na ya haraka pengine kupita aina nyingine yeyote ya biashara (halali na haramu).  Na kutokana na nguvu ya vyombo mbalimbali vya dola ulimwenguni katika kupambana na biashara hii, ni wazi kwamba bila kuwepo na connection za hali ya juu,utekelezaji wa biashara hii ungekuwa mgumu sana… Ndio maana vita dhidi ya biashara hii haramu ni ngumu na ambayo inahitaji umakini wa hali ya juu zaidi katika kukabiliana nayo endapo kuna nia ya dhati ya...

No comments:

Post a Comment