EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Tuesday, July 23, 2013

VIJANA WAUANA JIJINI MBEYA WAKIGOMBANIA PENZI LA MSICHANA


Mnamo tarehe 21/07/2012 majira ya saa 23:30hrs huko kijiji cha Nkwangu wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, Seni s/o Sandu, miaka 20, Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu aliuawa kwa kupigwa fimbo kichwani na Tolo s/o Seko, miaka 20, Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu. Chanzo ni ugomvi wa kumgombania msichana aitwaye Holo d/o Kulwa, miaka 16, Msukuma mkulima na mkazi wa Nkwangu. Mtuhumiwa amekamatwa na taratibu za kumfikisha mahakamani zinaandaliwa. Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya kamishna msaidizi wa polisi diwani athumani anatoa wito kwa jamii kutojichukulia sheria mkononi kwani ni kinyume cha sheria na kudhibiti hasira zao kwa kuyatatua...

NAY WA MITEGO ASHANGAA KUONA WASHINDI WA BSS WAKIFULIA LICHA YA KULIPWA PESA ZA KUTOSHA

 Hit maker wa Muziki Gani, Nay Wa Mitego ametuma salamu kwa mwandaaji ya shindano la Bongo Star Search, Rita Paulsen kuhusu zawadi wanayopewa washindi wa shindano hilo ambayo huwa haiwafikishi popote.   “Hizi Salamu ziende kwa Madam Rita na bongo star search. Mshindi analipwa nini mbona kama magumashi?! Namuona Walter Chilambo kapigika km zamani, haji ramadhani kachoka yupo kitaani.  "Nauliza milioni hamsini zao anazila nani, acheni ubabaishaji wekeni mambo hadharani. #966#, salam zao# my new track,” aliandika Nay Wa Mitego kupitia Instagra...

MJANE ALIYETIMULIWA KATIKA MSIBA WA MWANAJESHI WA JWTZ AJITOSA TENA KUHUDHURIA MAZISHI YA MUMEWE

FAMILIA ya Marehemu, Fortunatus Msofe, ambaye ni mmoja wa wapiganaji wa JWTZ, waliofia Darfur, wamemzuia aliyekuwa mchumba wake Amina Juma kushiriki katika mazishi na kumfungia mlango wa nyumba ya marehemu asiingie ndani mara tu baada ya taarifa za kifo cha marehemu kuwafikia.   Hata hivyo Amina amelazimika kwenda Tanga kushiriki shuguli za mazishi ya marehemu pamoja na kwamba familia ya marehemu haitaki kumuona katika msiba huo. Akizungumza na gazeti moja la kilasiku la kiswahili nchini Tanzania, Amina alisema kwamba ingawa awali alikata tamaa ya kumzika mwenzake, lakini jana aliamua kwenda Tanga kuhudhuria mazishi na...

VIDEO: MAKAHABA YAKODISHA J

No comments:

Post a Comment