Wananchi wa Africa kusini wameungana kwa pamoja kufanya
maandalizi ya kusheherekea siku ya kuzaliwa ya shujaa wa nchi hiyo rais Mandela
ambaye kwa sasa yuko hospitalini mjini Pritolia akipatiwa matibabu,hatua hiyo
imefika wakati mandela akiwa bado hayuko vizuri kiafya na madaktari
wanajitahidi kuona iwapo watafanikiwa kuokoa maisha yake mandela ambaye ni mtu
muhimu kwa taifa la Africa Kusini anatarajia kufurahia siku yake hiyo ya
kuzaliwa siku ya tarehe 18 mwezi huu.
No comments:
Post a Comment