Pichani
ni Mheshimiwa Joseph Mbilinyi (Sugu) Mbunge wa Mbeya mjini kupitia
CHADEMA akimkabidhi msanii huyo kadi ya Chama hicho muda mfupi uliopita
mjini Dodoma.
Endelea kutembelea Blog hii ili kufahamu alichokisema Prof. Jay mara baada ya kupokea kadi hiyo.
No comments:
Post a Comment