EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Friday, November 16, 2012

DIAMOND ETI UMEKOPI!!!

Moja kati ya track ambayo inafanya pouwa katika industry ya bongo fleva ya kwake Nassib Abdul AKA Diamond ambayo amefanya kwa producer Maneck eti kwamba ameKOPI kutoka kwa H Baba na Q Chiller, na ngoma hiyo inayoitwa Nataka Kulewa. Ila Diamondi mpaka sasa hajazungumza chochote kuhusiana na kuKOPI kwa ngoma hiyo!!!!

No comments:

Post a Comment