EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Sunday, June 1, 2014

MWILI WA TYSON WAFIKISHWA DAR TAYARI KWA MAZISHI



Msanii wa Bongo Fleva AY akiwa amewasili na crew yake nzima kuja kumpa pole Mbonie Masimba, AY alitoa laki 6 kununua jeneza la marehemu Tyson.

Kwa AY hii ikiwa kama mchango wake kwa kuthamini kile alichomfania wakati akiwa hai. Sasa msafara uLIelekea Bongo na mwili ukafikia Hospital ya Kairuki iliyopo Mikocheni na naambiwa msiba uko upo Bahari Beach nyumbani kwa marehemu.


picha mwendelezo





PICHA KWA MSAADA WA DJ CHOKA.

No comments:

Post a Comment