ITALY YAPATA PIGO LUIS MONTES SASA HAWEZI TENA KUCHEZA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA BRAZIL
Luis Montes akigongana na mchezaji wa Ecuador
Mchezaji mwenzake akimuita daktari wa timu baada ya Montes kupata majeruhi kubwa
Wasiwasi: Wachezaji wenzake wakimtazama Montes anapobebwa na machela.
NDOTO
za Luis Montes kuichezea Mexico katika fainali za kombe la dunia mwaka
huu nchini Brazil zimezima ghafla kufuatia kuvunjika mguu jana usiku
kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Ecuador.
Nyota
huyo mwenye miaka 28 alishuhudia timu yake ikishinda mabao 3-1 na yeye
akifunga bao dakika ya 33, lakini dakika mbili baadaye alipata majeruhi
mbaya.
Montes
alibebwa na machela kutoka nje ya uwanja baada ya kugongana na mchezaji
wa Ecuador, Segundo Castillo, na kumuacha kocha wake Miguel Herrera
akikiri wazi kuwa timu umwombee mchezaji huyo.
No comments:
Post a Comment