EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, February 15, 2014

YANGA YAWAFUMUA WA COMORO, YASONGA MBELE KAZI SASA NA WAARABU

NA MSHAMU NGOJWIKE,Dar es Salaam.

.TIMU ya Soka ya Yanga imefanikiwa kuwatoa timu ya Komorozine, ya Comoro kwa mabao 12-2 baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabo 5-2.
Mabao ya yanga yamefungwa na Mrisho Halfani Ngassa aliyepiga mabao tatu 'hat trick',Simon Msuva na Hamisi Diego Kiiza
 wachezaji wa Yanga wakishangilia kwa pamoja moja ya mabo yao msimu huu.
  
Mrisho halfani Ngassa mzee wa hat trick


               Kikosi cha yanga kikiwa nchini Comoro




                       Jembe Simon Msuva Kazini


 KUTOKA COMORO

Full TIME
Komoro 2-5 Young Africans
Yanga inasonga mbele kwa jumla ya mabao 12-2
- Mabao ya Yanga yamefungwa na Ngassa (Mabao matatu), Kiiza na Msuva.

No comments:

Post a Comment