EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Monday, June 16, 2014

WORLD CUP: ENGLAND WAKIWA GYM MARA BAADA YA KUPIGWA NA ITALY

Kwenye baiskeli! Wachezaji wa England wakifanya mazoezi kweney gym ya hotel tab Royal Tulip baada ya kurejea kambini kwao Rio de Janeiro, kufuatia kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Italia jana katika mchezo wa Kombe la Dunia
Pedal power: Raheem Sterling takes on board an energy drink as the players recovered in the gym
Raheem Sterling akinywa kinywaji cha kuongeza nguvu wakati anafanya mazoezi gym

No comments:

Post a Comment