![]() |
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MTWARA STEPHEN ZEROTHE |
MTWARA
KAMANDA WA POLISI MKOA
WA MTWARA.
S.L.P 504CMTWARA.
SIMU:O23-2333016:
NUKUSHI: 023-2333186
EMAIL:rpcmtwara@yahoo.com.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA
HABARI
TAREHE 26.02.2014
AJALI YA KUGONGA TRELA NA KUSABABISHA KIFO TAREHE 25/02/2014
HUKO MAENEO YA KIJIJI CHA MBUO BARABARA YA LINDI MTWARA,MOHAMED MIJAHI@TITI
MWENYE MIAKA 33 KABILA LAKE MMAKONDE,MKULIMA MKAZI WA KILAMBO AKIWA ANAENDESHA
PIKIPIKI AINA YA SANLG YENYE NAMBA T.202 CSM,AKIWA AMEMPAKIA ABIRIA AITWAE ALLY
DADI MWENYE UMRI WA MIAKA 33,KABILA LAKE MMAKONDE.MKULIMA,MKAZI WA MBAE
ALIGONGA TRELA LENYE NAMBA T.178 CLV ILIYOKUWA INAVUTWA NA GARI YENYE NAMBA
T.452 CJS AINA YA HOWO IKIENDESHWA NA RASHIDI SAID MWENYE UMRI WA MIAKA 32,
KABILA LAKE MPOGORO,MKAZI WA TABATA NA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA HUYO WA
PIKIPIKI PAPO HAPO NA MAJERUHI KWA ABIRIA WAKE AMBAYE AMELAZWA KATIKA HOSPITALI
YA RUFAA LIGULA MKOA WA MTWARA.CHANZO CHA AJALI HIYO KINACHUNGUZWA
ASANTENI
No comments:
Post a Comment