EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Wednesday, January 29, 2014

ABSALOM KIBANDA SASA HURU TOKA UCHOCHEZI MPAKA RAIA MWEMA



MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi ya makala iliyodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa inawakabili Meneja Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Theophil Makunga, Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba na aliyekuwa Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima ambaye sasa ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda ambapo wameibuka kidedea baada ya ushahidi upande wa mashitaka kutojitosheleza

No comments:

Post a Comment