UFARANSA
imejiweka hatarini ya kukosa fainali za kwanza za Kombe la Dunia baada
ya miaka 20, kufuatia kipigo cha mabao 2-0 mbele ya Ukraine usiku wa jana.
Katika
mchezo huo ambao Ufaransa ilimpoteza Koscielny aliyetolewa nje kwa kadi
nyekundu dakika ya 90, mabao ya Ukraine yalifungwa na Roman Zozulya
dakika ya 61 na Andriy Yarmolenko kwa penalti dakika ya 83.
No comments:
Post a Comment