EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, November 16, 2013

RONALDO AING'ARISHA URENO DHIDI YA SWEDEN,KUFUZU KOMBE LA DUNIA

 
BAO pekee la Cristiano Ronaldo dakika ya 82 limeipa usindi wa 1-0 Ureno katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunai usiku wa jana dhidi ya Sweden, Uwanja wa Estadio da Luz.
 
Ureno sasa itahitaji kuulinda ushindi huo katika mchezo wa marudiano Jumanne mjini Stockholm ili kukata tiketi ya  kufuz michuano ya kombe la dunia nchini Brazil mwakani.


Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Ureno

No comments:

Post a Comment