Kiungo mshambuliaji wa borussia dortmundi Robert Lewandowski amepiga mabao 3 wakati Dortmund ilipotoka nyuma na kuibamizaVfb Stuttgart mabao 6-1 na kutua kileleni mwa msimamo wa Bundesliga.
Karim Haggui aliifungia Stuttgart Bao
lao mapema lakini Sokratis Papastathopoulos akasawazisha kwa kichwa na
Marco Reus kufunga Bao la pili kwa Dortmund.
Ndipo zikaja Bao 3 za Lewandowski na Pierre-Emerick Aubameyang kumalizia Bao la 6. mabao hayo matatu nikama salam kwa Asernal kwani Asernal inakibarua cha kusafiri hadi Ujerumani katika mchezo wa wa ligi ya mabingwa barani ulaya
katiak mchezo wa kwanza Asernal ilikula kipigo cha bao 2-1 nyumbani emirates
No comments:
Post a Comment