JAMII imetakiwa kusaka elimu hususan ya ufundi na ujasiriamali, kwani ikitumiwa kwa usahihi itasaidia kupunguza tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini.
![]() |
Balozi wa Ubelgiji nchini, Koenread Adam |
Amesema elimu ya ufundi waliyoipata haina mwisho, ni muhimu kwa sababu kila kukicha mafundi umeme wa majumbani na viwandani, mchundo, seremala, wachonga vipuri vya mitambo mbalimbali wanahitajika katika jamii.Mkuu wa chuo hicho, Francis Mullu, amesema wamekuwa wakitoa mafunzo kwa vitendo kwa miaka mitatu, wakilenga ushindani wa soko la ajira katika nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC), na nchi zilizoko kwenye Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADCC).
No comments:
Post a Comment