Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Ufaransa amesema kuwa, Paris ina mpango wa kuongeza idadi ya wanajeshi wake katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
![]() |
| waziri wa mambo ya nje ufaransa |
Hadi sasa Ufaransa imeshapeleka zaidi ya wanajeshi 500 katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

No comments:
Post a Comment