
Epiq Bongo Star Search ya mwaka 2013 haitaoneshwa tena kupitia ITV.
Mwaka huu shindano hilo la kusaka vipaji vya kuimba litakuwa likioneshwa
kupitia TBC1.
Kupitia Facebook, Rita Paulsen aka Madam Rita ambaye ni
mwanzilishi na jaji mkuu wa shindano hilo ametoa sababu mbili za
kuhamisha matangazo hayo kutoka ITV hadi TBC1.
“Baada ya kusoma maoni yenu, ningependa kufafanua sababu mbili za
kurusha Epiq Bongo Star Search 2013 kupitia kituo cha Televisheni cha
TBC1.
Kwanza kabisa ni sababu za kibiashara ndio zimepelekea kipindi cha
EBSS kurushwa kupitia TBC1 na sababu ya pili ni kwamba baada ya kwenda
kidigitali,...
DUDU BAYA ATIWA MBARONI KWA KOSA LA KUCHOMA MOTO NYUMBA YA MSANII MWENZAKE

MSANII wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’ ameswekwa rumande kwa
kudaiwa kuchoma nyumba ya baba wa msanii mwenzake ‘Geez Mabovu’,
Mashaka Mrisho.
Tukio hilo lilitokea Agosti 1, mwaka huu
ambapo mwenye nyumba sambamba na polisi walimkamata Dudu Baya na mkewe
Mariam kwa madai ya kuchoma moto nyumba kwa makusudi na kuwapeleka
katika Kituo cha Polisi Oysterbay.
“Mkewe alitupia mkaa wa moto katika
sofa, likashika moto kabla majirani hawajanisaidia kuuzima. Baada ya
kuwauliza kulikoni wakanitishia maisha ndipo nikawapeleka polisi na
kupewa RB namba OB/RB/13485/2013 na kuja kumkamata,” alisema Mashaka.
Dudu Baya alipotafutwa...
AIBU: MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AUMBUKA BAADA YA KUTUPIA PICHA YAKE YA UCHI FACEBOOK BILA KUJUA

Mwanafunzi wa chuo kimoja hapa nchini ameambulia aibu ya
mwaka baada ya picha zake chafu kuvuja katika mtandao wa
facebook wakati "akichati" na darling wake.....
Katika mazungumzo yake na mpenzi wake, denti huyo alijikuta
akikosea kumtumia picha mpenzi wake na kujikuta akiiweka
katika wall yake huku ikisindikizwa na maneno matamu ya
kimahaba...
"Sry...
SAKATA LA MFANYABIASHARA WA MADINI ALIYEPIGWA RISASI 6 JIJINI ARUSHA LEO MCHANA

Habari zilizopatikana majira ya saa kumi kasoro robo alasiri ya leo
zinafahamisha kuwa, Mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha na
mmiliki wa hoteli amepigwa
risasi na watu wasiojulikana katika eneo la Mijohoroni upande wa
kulia (punde tu baada ya Boma Ng’ombe ukitokea Moshi kuelekea Arusha),
mchana wa leo, alipokuwa ameitikia wito alioitiwa wa mazungumzo ya
kibiashara ya madini.Taarifa zinasema marehemu amepigwa risasi kati ya 6
- 12 katika paji la uso na maeneo mengine ya mwilini.
Mtu
mmoja aliyewahi kufika kwenye eno la tukio baada ya kusikia milio ya
risasi anasema alimkuta mtu mmoja wa fanani ya Kimasai ambaye...

Imeelezwa
kuwa Baadhi ya wazazi na walezi wilayani Kahama mkoani Shinyanga
wamekuwa wakiwazuia walimu kutoa elimu ya njia ya kujikinga na ukimwi
kwa watoto wao wa sule za msingi ikiwemo matumizi sahihi ya condom. Hayo
yamebainika leo katika semina iliyoandaliwa na shirika la UNESCO
iliyojumisha wakuu wa shule za msingi na sekondari pamoja na mashirika
yasiyo ya kiserikali iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Valley Mjini
Kahama.Akichangia hoja katika semina hiyo Mwalimu mkuu wa shule
ya Msingi Korogwe Bi Ashura Rugakingira amesema kuwa wamekutana na
tatizo hilo toka kwa baadhi wazazi hao licha ya kuwa somo hilo lipo
katika...
No comments:
Post a Comment