EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, August 8, 2013

AFYA YA MSANII MATUMANI IMEIMARIKA KIDOGO NA AMEREJEA TENA KATIKA FANI YAKE YA UIGIZAJI


BAADA ya kutoka nchini Msumbiji akiwa hoi, msanii wa vichekesho Bongo, Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’ hatimaye amepata nguvu na ameanza kujikongoja katika kazi ya uigizaji.   Akiongea na  mwandishi  wetu hivi karibuni, Matumaini alisema kwa sasa anaendelea vizuri na ameshaanza kucheza filamu mbalimbali anazoshirikishwa na wasanii wenzake na sasa anaendesha maisha yake mwenyewe.    “Nawashukuru sana wasanii wenzangu kwani kama siyo wao, ningerudishwa nikiwa maiti, sina cha kuwalipa ila Mungu ndiye atakayewalipa,” alisema Matumaini.   Hata hivyo, alilaani vikali baadhi ya wasanii wanaozusha maneno ya uongo ...
Related Posts Widget For Blogger with ThumbnailsBlogger Templates 

No comments:

Post a Comment