EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, July 4, 2013

HAYA NDIYO ANAYOYAFANYA DADA YETU SHILOLE ABAMBWA NA NJEMBA NCHINI MAREKANI AKITANUA

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
  MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoa kali ya mwaka baada ya kunaswa akiingia ‘supermarket’ akiwa ametinga taulo. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni katika mji wa Maryland nchini Marekani ambapo staa huyo amekwenda kwa ajili ya kufanya shoo kisha kupigwa picha hiyo na rafiki yake ambaye aliiweka mtandaoni ikimuonesha akiwa amefunga taulo kwenye matiti.  Mwandishi wetu alipomuuliza Shilole kulikoni kupitia mtandao wa Instagram, alifunguka:  “Huku watu wanaishi kizungu hakuna mtu anayeshughulika na maisha ya mwenzake kila mmoja anahangaika na mambo yake kwa hiyo siyo ajabu mimi kuvaa taulo...

 WANASHERIA WA ETHIOPIA WAAPA KUMSHITAKI BETTY KWA KUFANYA NGONO NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Wakati  baadhi ya  watanzania  wakifurahia  madudu  ya  washiriki  wetu  ndani  ya  jumba  la  Big Brother, wenzetu  wa  Ethiopia  wameanza  kuchukua  hatua  stahiki  dhidi  ya  mshiriki  wao  aliyekubali  kufanya  mapenzi  hadharani.... Kundi  la  wanashiria  toka Adds  Ababa  limetangaza  kuwa  kwa  sasa  lipo  katika  hatua  za  mwisho  za  kukamilisha  mashitaka  dhidi  ya  mshiriki  wa  mwaka  huu ...
Related Posts Widget For Blogger with ThumbnailsBlogger Templates 

JESHI LA MISRI LAMUONDOA MADARAKANI RAISI MOHAMMED MORSI

  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 jeshi nchini Misri limemuondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia nchini humo Mohamed Morsi na imemteuwa kiongozi wa muda wa nchi baada ya maandamano makubwa yanayoipinga serikali.Akihutubia kwa njia ya televisheni jumatano jioni, mkuu wa jeshi, Abdul Fatah Khalil Al-Sisi alisema katiba ya Misri imesitishwa kwa muda na mkuu wa mahakama ya katiba ameteuliwa kuwa kiongozi wa muda nchini humo.  Sisi alitangaza kwamba jeshi linaangalia watu wa Misri kufuatana na maandamano makubwa ya upinzani yakidai kuwa Rais Mohamed Morsi ajiuzulu.Kufuatia hotuba ya kwenye televisheni Bwana Morsi alitoa...

MFANYABIASHARA AWAGONGA NA GARI WATU 6.....KISA NI WIVU WA MAPENZI

  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Watu sita wamejeruhiwa vibaya ikiwemo kuvunjika baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili huku mmoja wao akiwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada mfanyabiashara kuwagonga kwa gari huko Bahari beach....

AJALI ZAENDELEA KUTUMALIZA WATANZANIA.....TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Ajali hii ilitokea jana jioni  tarehe 02/07/2013, baada ya gari dogo lililokuwa linatokea maeneo ya Ubungo kwenda uelekeo wa Buguruni kumgonga mwenda kwa miguu aliyekuwa anavuka barabara katika maeneo Gereji (garage)... Damu ilimtoka kwa wingi sana mara baada ya ajali katika maeneo ya kichwani, na hapo ilipotokea ajali kuna kivuko cha waendeo kwa miguu Darubini L...

MAHAKAMA YAWAACHIA HURU VIONGOZI WA CHADEMA BAADA YA MWIGULU NCHEMBA KUSHINDWA KUTHIBITISHA AINA YA TUSI ALILOTUKANWA

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Mwita  Waitara Mahakama ya Hakimu Mkazi Mjini Singida  jana imetupilia mbali kesi iliyokuwa inawakabali viongozi wawili wa CHADEMA Ndugu Mwita Waitara ambaye ni afisa sera na utafiti makao makuu na mshauri wa chama hicho Dk Kitila Mkumbo.    Katika hukumu yake aliyeiyosoma mbele ya wakili wa washtakiwa hao Tundu Lissu, hakimu wa Mahakama hiyo Masham alisema kuwa washatakiwa hawana kesi ya kujibu kwa kuwa mashahidi wa serikali walishindwa kuthibitisha aina ya matusi yaliyodaiwa kutolewa na washtakiwa.  Aidha, hakimu huyo alisema kwamba upande wa serikali walishindwa kumleta shahidi muhimu katika kesi hiyo...

"GEREZANI KUMENIFANYA NIMJUE MUNGU VIZURI SANA"....HII NI INTERVIEW YA LULU MICHAEL

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Kwa mara ya kwanza muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu jana alifanya interview ya kwanza tangu atoke gerezani January mwaka huu.  Lulu aliye na muonekano wa ‘udada’ zaidi alihojiwa jana kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema.  Katia interview hiyo, Lulu aliongea masuala mengi kuhusu maisha yake ya sasa, mipango yake na mengine lakini akidai kuwa hatopenda kuongelea suala la uhusiano wake na Kanumba kwakuwa anahisi bado hajawa tayari ila muda ukifika atafunguka mengi. Haya ni baadhi ya masuala aliyoyazungumza.Kuhusu uzinduzi wa filamu yake mpya Foolish AgeNinaplan kufanya...

MACHANGUDOA WAULAANI UJIO WA OBAMA....WANADAI HAUKUWA NA PESA IKILINGANISHWA NA ULE WA BUSH

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Katika hali ilisiyokuwa ya kawaida,  machangudoa wameulalamikia ujio wa Rais Barack Obama kwa kile kinachodaiwa  kuwa  haukuwa na faida yoyote kwa kukosa dili za pesa. " Tumesikitishwa sana na ujio wa Obama kwani tulikuwa tumejipanga kupiga hela ndefu sana . "Bahati mbaya watu  wake tuliokuwa tunategemea kuwanasa walikuwa busy na wale  wa  mikoani  walizuiwa" Walisema akina dada hao.   Machungudoa hao wanadai  kuwa  kipindi cha Bush alipokuwa Rais ambaye alikaa nchini karibu wiki moja walinufaika sana ambapo wengi wao walijenga majumba kwa pesa za ziara ya Bush...

"SUGU AMESAFISHWA KWA KUMTUKANA WAZIRI MKUU. FIKIRIA TUSI HILO LINGETOKA KWA MLALA HOI "...MBWANA

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
KILA mtu anajua kuwa sheria na haki ni vitu viwili tofauti. Usilazimishe kupata haki, kwasababu sheria imeonyesha juu ya madai yako. Kufanya hivyo ni kujipotezea muda wako unaoweza kuutumia katika kazi nyingine za maendeleo yako. Pamoja na  yote hayo, lakini wakati mwingine si sahihi kujificha kwenye mhimili wa kisheria kwa kufanya mambo ambayo ni tofauti katika jamii. Kila mmoja anapaswa kuishi kwa upendo bila kuweka u-mimi, vyama vyetu na mengineyo pia. Nasema haya baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama ‘Sugu’kutoka (CHADEMA)kuachiwa huru na Mahakama ya Wilaya ya Mkoa wa Dodoma, kwa...

MAMA WA MIAKA 52 AKAMATWA KWENYE CHUMBA CHA MTIHANI AKIMFANYIA MTIHANI BINTI YAKE

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Mwanamke mmoja mfaransa (52) amejikuta mikononi mwa polisi wa jiji la Paris katikati ya mwezi june, baada ya kukamatwa kwenye chumba cha mtihani akimfanyia mtihani wa Kiingereza mwanae mwenye umri wa miaka 19, huku akijiweka kisichana zaidi wasimshutukie. Ripoti kutoka nchini humo zinasema mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Caroline D aliingia kwenye chumba cha mtihani akiwa amevaa skin jeans na viatu aina ya Converse ili aonekane kama mwanae. Lakini jicho makini la msimamizi wa mtihani lilimnasa mama huyo kwa kuwa msimamizi alikua tayari alishamuona mwanae wakati anafanya mtihani wa Philosophy, kwa hiyo akamshtukia mama huyo...

"KAMA BABA YAKO ANGEKUWA NI SHOGA, WEWE BARACK OBAMA USINGEZALIWA"...HII NI KAULI YA WANANCHI WA KENYA

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Akiwa  nchini  Senegal,Rais  Obama  alinukuliwa  na  vyombo  vya  habari  akiyasisitiza  mataifa  ya  afrika  kuhusu  kutambua  uwepo  wa  MASHOGA  na  kwamba  haki  zao  za  msingi  ni  lazima  ziheshimiwe... Kauli  hiyo  imewachefua  wengi  hasa  viongozi  wa dini  nchini  Kenya . Jana, kiongozi  wa  kiislamu  alimuuliza  obama  swali  gumu  sana  kwamba  "Atajisikiaje  endapo  atabaini  kuwa  watoto ...

TUKIO LA KUBAKWA KWA MSANII MAARUFU WA BONGO MOVIE....

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
  Kuna habari  mbaya  ambazo  zilianza  kusambaa  mtandaoni  jana.Habari  hizo  zinazomhusu  msanii  maarufu  wa  bongo  movie  ambaye  anadaiwa  kubakwa  (Mtungo ) na  wanaume  kadhaa. Habari  hizo  zinadai  kuwa, Msanii huyo  wa  kike  mwenye  jina  kubwa  hapa nchini    alikutwa  na  balaa  hilo  baada  ya  kuwachanganya  kimapenzi  washikaji  wawili  ambao  ni  kama  marafiki  na  hivyo  wakaamua ...

No comments:

Post a Comment