EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Thursday, July 4, 2013

HALI ILIKUWA HIVI BAADA YA MATOKEO ROYAL KUTANGAZWA MITAA ILICHAFUKA KWA MAYOWE NA NGOMA RAIS APELEKWA MANZESE APOKELEWA KWA SHANGWE APIGIWA BONGE LA DUA NA WAMAMA

Mara baada ya matokeo kutangazwa wanafunzi wa royal wanaompenda rais huyo walishindwa kujizuia hisia zao hivyo walimchukua kiongozi huyo mpya na kupita naye mitaani huku wakiimbaq kwa furaha hatimaye msafara uliingia mitaa ya Manzese na kumpeleka kwa wenyeji wa mtaa hu ambapo Bw: Mtenzi alipokelewa na kufanyika kikao kikubwa huku ngoma na mayowe vikitawala.

safari ya ilianzia hapa


 mwishowe mama mmoja mkazi wa manzese alijitoa na kupiga bonge la dua kwa Mtenzi kumuombea kwa mungu katika maisha yake na uongozi wake kwa ujumla hata hivyo mambo hayakuishia hapo msafara ulihama majira ya saa moja kamili za usiku na kuelekea katika
hostel za sinza ambako huko mapokezi yalikuwa zaidi ya uale ya Manzese hali ilikuwa si ya kawaida mpaka baadhi ya wanafunzi waliangua kilio.Sherehe hizo zilimalizika majira ya saa tatu za usiku ambapo watu wote walirejea majumbani kwao salama isapokuwa mmoja tui kati yao alipoteza simu yake ya kiganjani.
Mtenzi mwenyewe amesema anajisikia fahari kwa kile alichokiona na anaahidi kutoa ushirikiano kwa wote waliompa ushirikiano mwisho amesema amepanga kufanya tafrija fupi ya kuwashukurui wapiga kura wake kwani hakudhani kama angeshinda kwa namna ushindani ulivyokawa mkubwa dhidi ya mgombea mwenzake.

kivumbi barabara ya morogoro kuelekea manzese


Rais Mtenzi akiongoza msafara kwenda manzese


maeneo ya mitaani



Rais Mtenzi akipokelewa Manzese Royal Hostel


Time ya usiku mambo yalikuwa hivi


No comments:

Post a Comment