 |
| Naomi Kipangula na JOnathani Emanueli-mcs wa royal day bash wakijadili jambo |
|
|
|
|
|
|
Sherehe hizo zilifanyika siku ya tarehe 31 mwezi wa tano katika ukumbi wa Abnois Function hall maeneo ya shekilango jijini Dae res salaam ambapo wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa habari royal College of Tanzania walikuwa ndio wahusika wakuu nwa sherehe hizo zilizokuwa za kuuaga uongozi wa serikali ya wanafinzi chuoni hapo unaomaliza mda wake mwaka huu chini ya Rais peter william pamoja na kuwakaribisha wanafunzi wapya wa muhula wa may chuoni hapo.
No comments:
Post a Comment