| mkuregenzi wa NM experience Msajigwa mwalugaja kushoto akiwa na msanii wake Twaha Lupenza |
Uzinduzi wa albam hiyo ya Miss Tanganyika umefanyika usiku wa j-mosi ya tarehe 01-06-2013 katika viwanja vya Fei Pub maeneo ya sinza kumekucha sanbamba na kuzindua albam tanganyika pia imezindua video yake ya nyimbo ya tamua a,mbayo ni moja kati ya nyimbo sita zinazokamilisha albam hiyo katika sherehe hizo pia zilipambwa na burudani toka kwa wanamuziki wa kizazi kipya wanaoliwakilisha kundi la wanyama pamoja na 4manaco
| Maganga na peter wakijiandaa kwa sherehe |
. kwa sasa studio za tanganyika record zimeanza kazi zake rasmi za kurekodi nyimbo za audio kwa aina zote za muziki ambapo mwanamuziki atatakiwa kulipa laki moja na elfu hamsini tu kukamilisha kazi yake na imefahamika kuwa yeyote atakayerekodi katika studio za tanganyika atapewa ofa ya kusambaziwa nyimbo zake katika vituo mbalimbali vya redio nchini. mpaka sasa wasanii walioko lebo Tanganyika wako 5 ambao ni Minamba ze Boss,Chui Tiger,Ze Matron,Doctor na Njeru B ambao ndio wameifanya albam ya Miss Tanganyika kwa pamoja.
No comments:
Post a Comment