Tukio
hilo lililoibua simanzi kubwa kutokana na marehemu kuhitimu Kidato cha
Nne katika Shule ya Sekondari ya Kata ya Nyihogo, Kahama mwaka jana,
lilijiri saa 12:45 Februari 6, mwaka huu.
Kitendo hicho kilifanyika katika banda la mbuzi lililopo nyumbani kwa kijana huyo ambaye baada ya kutekeleza mauaji na yeye alifanya jaribio la kutaka kujitoa roho kwa kisu
Akisimulia juu ya tukio hilo, rafiki wa
karibu wa Musa ambaye aliomba hifadhi ya jina lake kwa ajili ya
usalama, alisema wiki moja kabla ya tukio hilo, mtuhumiwa huyo alikuwa
akiwatangazia jamaa zake kwamba ana dhamira ya kumuua binti huyo
kufuatia kubaini kuwa anamsaliti kimapenzi.


No comments:
Post a Comment