EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, July 28, 2012

Blogger Buzz: Customize your posts with permalinks

Katika kusisitiza umuhimu wa vitambulisho vya taifa raisi wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh,BENJAMIN MKAPA amewataka wanainchi kujitokeza na kujiandikisha lakini pia ndg. MKAPA ameviomba vyama vya siasa kuwa makini na washabiki au wanachama wao kwa kuhakikisha kuwa wote ni watanzania na hii itasaidia kuepusha uchochezi wa vurugu katika vyama vyao ambao unasadikika unafanywa na watanzania wasio wazalendo kwa kushirikiana na watu wasio wananchi halali au wazawa wa Tanzania

No comments:

Post a Comment