EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, July 28, 2012

Blogger Buzz: Customize your posts with permalinks

Ikiwa ni siku tisa tu Baada ya ajali ya kazama kwa meli ya Mv SKAGIT Raisi wa baraza la mapinduzi zanzibar Dr.ALI MOHAMED SHEIN akiagiza chama cha usafiri wa majini Zanziba kwa kuwapa muda wa wiki moja kumfikishia majumuisho ya makusanyo ya fedha toka katika taasisi hiyo na taasisi nyingine za fedha visiwani humu pesa ambazo Dr.SHEIN ameeleza kuwa zitatumika katika kulipa moja ya kampuni toka nchini Japani,MAREKANI au Urusi kwa ajili ya uundaji wa meli mpya, meli hiyo ambayo itakuja kutumika kama meli ya abilia. visiwani humo Pia sambamba na chama cha usafiri wa majini Zanzibar kufuta vibali na leseni za meli tatu na kusitisha rasmi shughuli zake za usafirishaji kwa madai kuwa ziko chini ya viwango chama hicho kimemuhakikishia Dr.shein kuwa pesa hizo zitapatikana na kumweleza kuwa kwa ukubwa wa meli aliyoitaka itachukua muda wa mwaka mmoja kujengwa na kuwa tayari kwa matumizi.

No comments:

Post a Comment