EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Wednesday, July 25, 2012

Blogger Buzz: Customize your posts with permalinks

Katika sherehe za kumbukumbu ya mashujaa hapo jana yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam Mh.Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete aliweka sime katika eneo hilo ikiwa kama ishara ya kuwakumbuka mashujaa wote walioikomboa Tanzania kipindi cha ukoloni.

No comments:

Post a Comment