EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Wednesday, July 25, 2012

Leo mnamo majira ya saa nane mchana nusu faina ya kwanza ya kombe la kagame itapigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam ambapo Timu ya As VITAR ya Kongo itapambana vikali na AZAM FC ya Dar es salaam baada ya walamba icecream hao toka mbande chamazi kuiangamiza simba jana kwa bao 3-1 wadau wote kaeni tayari kwa mchezo huo mkali zaidi

No comments:

Post a Comment