EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Saturday, February 15, 2014

TWIGA WAWASIRI DAR, WAAHIDI KULIPA KISASI MCHEZO WA MARUDIANO

 NA MSHJAMU NGOJWIKE,Dar es Salaam.
TIMU ya soka ya Wachezaji wa "Twiga Stars" imewasiri jijini Dar es Salaam wakitokea Lusaka Nchini Zambia, baada ya kupata kipigo cha mabao 2-1 katika mashindano ya kufudhu m
kombe la afrca kwa wanawake litakalofanyika Mjini Banghue mwakani.
  Timu ya wanawake ya tanzania twiga stars wakiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere Dar, leo mchana wakitokea Zambia 

MCHEZO huo twiga  walipotezaa kwa mabao 2-1  dhidi ya Zambia hapo jana . KILA LA KHERI TWIGA STARS KATIKA MCHEZO WA MARUDIANO

No comments:

Post a Comment