EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Monday, November 4, 2013

MALINZI AANZA KAZI TFF NUKTA YA KWANZA ANGETILE OSIAH

.

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania-TFF imemteua Boniface Wambura kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa TFF.
 
 Kabla ya uteuzi huo ambao umeanzia Novemba 2 mwaka huu, Wambura alikuwa Ofisa Habari wa shirikisho hilo. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah amepewa likizo ya malipo mpaka hapo atakapomaliza mkataba wake.
 
 Kamati ya Utendaji inaviomba vilabu, vyama vya wilaya, vyama vya mikoa, vyama shiriki na wadau wote kumpa ushirikiano Wambura katika utekelezaji wa majukumu yake.

No comments:

Post a Comment