EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Tuesday, June 11, 2013

HUZUNI:;KICHANGA CHAKUTWA KIMETUPWA JALALANI HUKO MLANDEGE IRINGA



Mtoto huyo aliyeokotwa huko katika  mtaa wa mlandege saa mbili asubuhi amekutwa tayari akiwa ameshafariki ila polisi wanamshikilia mama mmoja ambaye jina lake halikupatikana hadi tunaingia kuziandika habari hizi,
polisi wamelazimika kumkamata mwanamama huyo kufuatia kauli za majirani wakimtuhumu kuwa huyo mtoto ni wake kwani alikuwa na mimba na ghafla haipo na pia uchunguzi unaonyesha kuwa ni kama anauhusika japo bado polisi hawajatowa tamko kufuatia mahojiano hayo japo waandishi wa thesuperstarstz waliopo huko iringa walifika eneo husika na baadae polisi lakini walijibiwa kuwa wasubiri hadi uchunguzi ukamilike.

No comments:

Post a Comment