EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Wednesday, August 22, 2012

WATU KADHAA WAJERUHIWA KATIKA VURUGU ZA KUGOMBEA VIWANJA HUKO MADALE.

Watu kadhaa wamelipotiwa kujeruhiwa katika vurugu zilizotokea leo asubuhi huko katika eneo la Madale nje kidogo ya jiji la Dar es salaam ambako polisi walilazimika kutumia mabomu na risasi za moto katika kuwatawanya watu waliodaiwa kuvamia maeneo ya watu bila kibali.

No comments:

Post a Comment