EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Sunday, June 29, 2014

COSTA RICA YATINGA ROBO FAINAL KWA MATUTA

Los Ticos: Wachezaji wa Costa Rica wakimpongeza mwenzao, Bryan Ruis baada ya kufunga bao la kuongoza katika sare ya 1-1 na Ugiriki Kombe la Dunia hatua ya 16 Bora. Costa Rica imeenda Robo Fainali kwa ushindi wa penalti 5-3 baada ya sare hiyo ndani ya dakika 120 na sasa itamenyana na Uholanzi, ambayo mapema iliitoa Mexico kwa kuifunga mabao 2-1.

No comments:

Post a Comment