EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Monday, May 26, 2014

SUAREZ: ATANGAZA RASMI KUWA ANABAKI LIVERPOOL MSIMU UJAO HUKU AKIAMINI WATACHUKUA UBINGWA WAULAYA

Luis Suarez amewaambia wachezaji wenzake wa Liverpool kwamba atabaki kwa kuwa anataka kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England akiwa na kikosi hicho. Kauli hiyo ya Suarez kwamba atabaki Anfield inapunguza presha kubwa kuhusiana na mchezaji huyo kwamba ataondoka.
Tayari Liverpool imefanikiwa kumpa mkataba mpya kocha wake Brendan Rodgers hadi mwaka 2018 ikionekana kutaka kuwabakiza watu muhimu.
Lakini Suarez amekuwa ni presha kubwa kutokana na timu vigogo kama Real Madrid kutaka kumtwaa na ilielezwa kuwa iko tayari kumwaga hadi pauni milioni 100 ili kumtwaa.

No comments:

Post a Comment