![]() |
| DKT NDUMBARO |
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Simba, kila kitu
kilikamilika jana na leo ni siku ya kutangaza.
“Kamati itakutana na waandishi saa saba na nusu mchana pale
ofisi za TFF kwa ajili ya kutangaza,” kilieleza chanzo.
Kati ya waliokuwa wamekatiwa rufaa ni wagombea wa nafasi ya
urais, Michael Wambura na Evans Aveva.
Lakini pia baadhi ya wagombea ambao walikuwa kwenye kamati ya
utendaji ya Simba katika uongozi uliopita.

No comments:
Post a Comment