EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Wednesday, May 14, 2014

MAKANISA MTWARA YATOA SOMO KWA WANANCHI KUJIFUNZA KISWAHILI NA UMUHIMU WAKE



NA: VERONICA VICTOR
MTWARA
Witoumetolewa Kwa Wananchi Mkoani Mtwara Kuona Umuhimu Wa Kupata Elimu Na Matumizi Ya Lugha Ya Kiswahili Ambayo Kwasasa Ni Lugha Inayo Kua Kwa Kasi Duniani Maana Kwa Kufanya Hivyo  Kuta Usaidia Mkoa Kukua Katika Secta Zote  Kwasababu Itaongozwa Na Wasomi.
Akizungumza Na Waumini  Wa Kanisa La Evanjoristic Assemblies Of God Tanzania(EAGT)Rahaleo Mkoani Humo  Katika Tafrija  Ya Kutunikiwa   Cheti Cha Udokta  Wa Heshima Kwa Mchungaji Mwenyeji  Wa Kanisa Hilo Dr Eward Hamisi Mrope Mgeni Rasmi Wa Tafrija Hiyo Dr Alfonce Mwanjala Ambae Pia Ni  Katibu Kanda  Ya Mashariki Kusini Wa Kanisa Hilo Nchini Amewataka Waumini Hao  Waone Kuwa  Elimu Ni Jambo  La Kuzingatia Sana Tena Si Kwa Kuajiriwa  Bali Kwa Kuongeza Maarifa Ya Kukabiliana Na Mazingira Yanayo Wazunguka.
Aidha Kwaupande Wake Profeser Wa Chuo Cha The  Africa Graduate University Ambacho Ndicho Kilicho Mtunikia  Dr Mrope  Shaada Hiyo Chanselar Lukas N Wakaruti Kutoka Nchini Uganda  Amewasisitiza  Wananchi  Hao Kutopenda Kudumisha Lugha  Za Kigeni Na Kusahau Luga Yao Ambayo  Ina Asili Ya Utamaduni Wao  Inchin Humo.
Hatahivyo  Amemaliza Kwakusema Kua Japokuwa Watu Wengi Wanamtazamo Wa Kuwa  Watu Wenye Imani Hiyo Haw Somi Kwa Kuamini Kuwa Kufa Kunakaribia Kua Usemi Huo Ni Wa Zamani

No comments:

Post a Comment