Toni Kroos hatasita kujiunga na Manchester United hata kama watashindwa kupata Nafasi ya
kucheza Ulaya Msimu ujao.
Kiungo huyo wa Mabingwa wa Ulaya, Bayern Munich, amekiri kuwa yuko tayari kujiunga na Manchester United ikiwa ataihama Bayern.
WASIFU
-JINA: Toni Kroos
-KUZALIWA: 4 Januari 1990 [Miaka 24]
-MAHALA: Greifswald, East Germany
-KLABU: Bayern Munich
Mkataba wa Kroos unamalizika Mwaka 2015 lakini hadi sasa amekataa kusaini Mkataba mpya na Bayern.
Alipoulizwa kuhusu hatima yake na Bayern, Kroos alijibu: “Hakuna uamuzi uliofanyika. Si Siri Ligi Kuu England inawezekana!”
Hata hivyo, Meneja wa Bayern Munich, Pep
Guardiola, amemshauri Kroos kubaki Bayern na kumwahidi atakuwa Mchezaji
bora chini yake.
Hadi sasa Man United haijatoa tamko lolote kuhusu Toni Kroos.
RATIBA:
Ijumaa Machi 14
FC Augsburg v Schalke 04
Jumamosi Machi 15
BV Borussia Dortmund v Borussia Mönchengladbach
Hertha Berlin v Hannover 96
SV Werder Bremen v VfB Stuttgart
Eintr. Braunschweig v VfL Wolfsburg
TSG Hoffenheim v FSV Mainz 05
Bayern Munich v Bayer 04 Leverkusen
Jumapili Machi 16
Hamburger SV v FC Nuremberg
Eintracht Frankfurt v SC Freiburg
MSIMAMO-Timu za Juu:
NA | TIMU | P | W | D | L | F | A | GD | PTS |
1 | Bayern Munich | 24 | 22 | 2 | 0 | 72 | 11 | 61 | 68 |
2 | Borussia Dortmund | 24 | 15 | 3 | 6 | 55 | 27 | 28 | 48 |
3 | Bayer Leverkusen | 24 | 14 | 2 | 8 | 40 | 27 | 13 | 44 |
4 | Schalke 04 | 24 | 13 | 5 | 6 | 46 | 35 | 11 | 44 |
5 | VfL Wolfsburg | 24 | 12 | 3 | 9 | 41 | 38 | 3 | 39 |
6 | FC Augsburg | 24 | 11 | 5 | 8 | 37 | 34 | 3 | 38 |
7 | FSV Mainz 05 | 24 | 11 | 5 | 8 | 33 | 36 | -3 |
No comments:
Post a Comment