BARUA ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwenda Shiriksiho la Soka Tanzania (TFF) haijamruhusu moja kwa moja mshambuliaji Mganda Emmanuel Anord Okwi kuchezea Yanga SC, bali imetoa maelekezo ya kufuata.
SWACOTZ FORUM imefanikiwa kupata nakala ya barua hiyo iliyotumwa nchini
Februari 12, mwaka huu kutoka makao makuu ya shirikisho hilo, Zurich
kwenda kwa Katibu Mkuu wa TFF, Celestine Mwesigwa Dar es Salaam na FIFA
imesema yenyewe haihusiki na usajili wa mchezaji, bali ni shirikisho la
nchi husika.

Okwi akiichezea Etoile msimu huu

No comments:
Post a Comment