![]() |
Afisa michezo Mtwara Vijijini Nicolous mmuya akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao |
maarufu pamoja na wale waliowahi kushiriki michezo enzi za ujana wao.
![]() |
mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu mkoani mtwara MTWAREF |
![]() |
MOJA KATI YA WAZEE WALIOHUDHULIA AKIZUNGUMZA NA WACHEZAJI HAWAPO PICHANI |
![]() |
BAADHI YA WACHEZAJI WA TIM YA NDANDA FC |
naye pia alieleza namna serikali kupitia ofisi ya mkuu wa mkoa ilivyojipanga kuisaidia ndanda na kwamba wao wasikate tamaa wakaze buti.awali ndanda ilisaidiwa chini ya kamati inayoongozwa na mkuu wa wilaya ya mtwara MH:Willmani Kapenjama Ndile na baada ya hapo ingawa kamati hiyo bado inaendeleza msaada wake lakini sasa watu wengi wa mtwara wameonekana kuguswa na hilo ambapo kila mmoja sasa amekuwa ni sehemu ya mchango kwa timu hiyo ili kuhakikisha inapanda daraja,jumamosi iliyopita ya february 22 ndanda ilicheza na afrikan lyion klatika nuwanja wa nangwanda mjini mtwara na ndandsa ikaibuka kidedea kwa ushindi wa bao moja kwa nunge na jumamosi hii yaani kesho march mosi ndanda itakua uwanjani tena nangwanda kukipiga na Tesema fc mchezo ambao utaanza majira ya saa kumi kamili nza jioni kwa saa za afrika mashariki.
KILA LA KHERI NDANDA HAPO KESHO.
No comments:
Post a Comment