TAMKO LA JESHI LA
POLISI MKOA WA MTWARA BAADA YA TUKIO LA UJAMBAZI
ZAWADI NONO YA
SHILLINGI MILIONI TANO KUTOLEWA
![]() |
| kamanda wa polisi mtwara zerothe stephen |
NA:KASSIM NGUMBI
Kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa jambazi ambae alipora pesa katika kituo cha mafuta CAMEL OIL Kiduni wilayani Newala na kusababisha mauwaji ya watu watatu,jambazi huyo inasadikika ni mfupi mwenye mwili uliojaa na ni mweusi pia.Kamanda wa polisi Mtwara anawafahamisha wananchi yeyote kwa njia ya siri atakaefanikisha kukamatwa kwa jambazi huyo atapata zawadi nono ya Tsh Millioni 5,au kwa mawasiliano ya simu 0715009948,ikiwezekana kuonana na kamanda wa polisi mkoa mtwara ana kwa ana. Na pia vifaa vinavyoonekana hapo chini ni vya jambazi aliyehusika katika tukio hilo

No comments:
Post a Comment