EBENEZA MARCH 9 2014

EBENEZA MARCH 9 2014

Tuesday, January 28, 2014

JAPANI YAKUBAli KUREJESHA KG 300 ZA PLUTONIUM US



rais wa marekani barack obama

Serikali ya japani hatimaye imekubali kurudisha zaidi ya kilo 300 za siraha za plutonium kwa serikali ya marekani vifaa hivyo vilipelekwa nchini japani kwa lengo la kufanya uchunguzi wakati wa vita baridi.     
Marekani ilikuwa imeagiza plutonium hizo kurejeshwa nchini kwao tokea mwaka 2010, baada ya mazungumzo maalum mwaka jana japani sasa imeonekana kuridhia kutekereza agizo hilo kituo cha habari cha Kyodo cha Japani kimeripoti jumapili kuwa plutonium hizo zimehifadhiwa katika eneo la Tokaimuranchini Japan’na inakadiriwa kuwa matirio hayo yanaweza kuzalisha kati ya 40 mpaka 50 aina ya siraha za nyukria.

No comments:

Post a Comment