 |
Mwananchi akichangia katika mkutano wa ardhi mjini Morogoro |
IMEELEZWA kuwa uelewa mdogo wa sheria kwa
kamati na mabaraza ya ardhi za vijiji, imeelezwa kuwa chanzo kikubwa cha
ongezeko la migogoro ya ardhi katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro.
Hayo yamefahamika wakati wa kongamano la siku
tatu kwa viongozi wa mabaraza na kamati za ardhi za kata, katika Tarafa za
Magole na Mamboya wilayani Kilosa.
 |
wananchi wakisikiliza maelezo ktk kongamano |
Kongamano hilo limebaini uwepo wa uelewa mdogo
wa sheria za ardhi kwa wajumbe na viongozi wa kamati na mabaraza ya ardhi
katika vijiji, kata na tarafa na kushindwa kutatua Migogoro ya mara kwa mara
No comments:
Post a Comment