![](//2.bp.blogspot.com/-DaItIObC0SI/UdBkTZfBfBI/AAAAAAAAiVo/PVi47iNuLEQ/s760/a.jpg)
Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam.Hata hivyo mfumaniwa mwenzake ( mwanaume ) hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia. Wazazi wenye uchungu na hasira wakiwa na binti yao mara baada ya fumanizi. Wazazi wakimpiga binti yao kwa uchungu na hasira mara baada ya fumanizi. (Picha zote na maelezo yameletwa na Dei Misana- Wavuti.com) ...
WAGHANA WAMLAANI NANDO WA TANZANIA KWA KUZINI NA DEMU WAO ( SELLY) NDANI YA BBA......MAMA MZAZI WA BINTI AMTETEA
![](http://2.bp.blogspot.com/-DaItIObC0SI/UdBkTZfBfBI/AAAAAAAAiVo/PVi47iNuLEQ/s760/a.jpg)
Mwanafunzi mmoja amefumaniwa katika nyumba moja ya wageni (guest house) hapo jana, tarehe 29/6/2013 majira ya saa nane mchana katika eneo la Yombo Vituka jijini Dar es salaam.Hata hivyo mfumaniwa mwenzake ( mwanaume ) hajakamatwa kwani aliponyoka na kukimbia. Wazazi wenye uchungu na hasira wakiwa na binti yao mara baada ya fumanizi. Wazazi wakimpiga binti yao kwa uchungu na hasira mara baada ya fumanizi. (Picha zote na maelezo yameletwa na Dei Misana- Wavuti.com) ...
![](http://2.bp.blogspot.com/--gctpiQh7Q0/UdEeTFUsstI/AAAAAAAAiWs/pXw752BvdJQ/s560/1.jpg)
Wiki iliyopita wapenzi Nando wa Tanzania na Selly wa Ghana waliucheza ule mchezo wa kikubwa katika Big Brother ‘The Chase’ inayoendelea, na inasemekana baada ya Ghana na Afrika kwa ujumla kushuhudia mechi hiyo ya kirafiki watu wa karibu na mpenzi wa Selly wamemshauri ampige kibuti. Wote tunafahamu kwamba washiriki wote wa BBA wana maisha yao nje ya Big Brother na inawezekana kila mmoja anamahusiano huko alikotoka, lakini mission iliyowapeleka BBA ‘The Chase’ ni kushinda $300,000 inayomsubiri kinara mmoja, na ili kupenya njia nyembamba za kuufikia ushindi kila mmoja anajitahidi kufumba macho na kujisahaulisha...
GEORGE BUSH NA MKEWE KUTUA NCHINI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-gnsc4U8dmTY/UdEWibEfBjI/AAAAAAAAiWc/pP4hwcpFSbY/s560/BUSH.jpg)
RAIS mstaafu wa Marekani, George W. Bush na mkewe, Laura wanatarajiwa kesho kuwa nchini kuhutubia kongamano linalojadili wajibu wa wake wa marais katika kuinua wanawake duniani. Kuwasili kwa Bush, ni mwendelezo wa wiki hii Jiji la Dar es Salaam kuwa katika pilikapilika za kupokea ugeni wa watu maarufu. Kongamano hilo limeandaliwa na Taasisi ya George Bush na litafanyika kesho na keshokutwa. Taarifa iliyotolewa na taasisi hiyo kwa vyombo vya habari , inasema kongamano hilo litahudhuriwa na wake mbalimbali wa marais akiwemo mke wa Rais wa Marekani, Michelle Obama. Pia Mwanzilishi wa Taasisi ya Wanawake ya Cherie, Cherie Blair...
WATANZANIA 60 WAKAMATWA AFRIKA KUSINI WAKATI WA ZIARA YA OBAMA
![](http://3.bp.blogspot.com/-4NB9pho1Lvw/UdETWpgsAmI/AAAAAAAAiWM/IDTLVnki-LA/s715/1.jpg)
Watanzania 60 wamekamatwa Afrika Kusini kutokana na maandalizi yaliofanyika nchini humo ya kumpokea Rais Barack Obama wa Marekani. Rais Obama aliwasili Afrika Kuisini wiki iliyopita kwa ziara ya siku tatu akitokea Senegal. Watu hao wamekamatwa baada ya kudaiwa kuishi kinyume cha sheria Afrika Kusini. Baada ya Watanzania hao kutiwa mbaroni na vyombo vya usalama wamehifadhiwa hapa nchini kusubiri hatua za kisheria zaidi. Ofisa mmoja wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, Sadiki Msele amesema Watanzania hao walirejeshwa nchini juzi na kwamba hivi sasa wanasubiri sheria kuchukua mkondo...
KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA MAKETE ATUPWA JELA MIEZI 9 KWA KOSA LA KUTOTII AMRI YA POLISI
![](http://4.bp.blogspot.com/-qj3pXDqN21c/UdBfAcY7cQI/AAAAAAAAiVY/ztBfsrOz4FY/s560/1.jpg)
Mahakama ya mwanzo Makete mjini wilayani Makete mkoani Njombe imemuhukumu katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wilaya hiyo Bw Godfrey Mahenge (63) kwenda jela miezi 9 kwa kosa la kutotii amri halali ya jeshi la polisi Makete Akitoa hukumu hiyo hakimu wa mahakama ya mwanzo Makete mjini Mh. John Mpitanjia amesema mtuhumiwa huyo alitumia lugha ya matusi kwa askari polisi na kuwaita kuwa ni wauaji na kudai kuwa wametumwa na chama cha mapinduzi (CCM) Amesema baada ya mahakama yake kuridhishwa na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na upande wa mashataka, mshtakiwa alitakiwa kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani...
OFISI YA CCM WILAYA YA MBINGA YACHOMWA MOTO
![](http://2.bp.blogspot.com/-cnpsunvxEKQ/UdBdKc7ZH7I/AAAAAAAAiVI/jXVxiMmbGCo/s560/JK.jpg)
Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga Anastasia Amasi akionyesha sehemu iliyoanzia moto kuwaka na kukamata pazia. Kama unavyoona katika picha hapo ni ndani ya ofisi baada ya moto kuwaka Katibu wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga Anastasia Amasi anayeonekana katika picha akitoa maelezo kwa nje ambapo walimwaga mafuta aina ya petroli dilishani na kuwasha moto Huu ni mlango uliomwagiwa mafuta katika upenyo kisha kuwashamoto ambao haukuleta madhara kama ilivyo kusudiwa na wachomaji. WATU wasiojulikana wamechoma moto jengo la ofisi ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Mbinga mkoani...
LOWASSA AMTAKA OBAMA ASIZUNGUMZIE MAMBO YA USHOGA NA NDOA ZA JINSIA MOJA AKIWA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-62T_STu1nNY/UdAa-3QzNLI/AAAAAAAAiU4/IA_r4FtphC8/s774/LOWASSA.jpg)
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo yaNje na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward Lowassa, amemtahadhalisha kujiepusha na kauli za kuunga mkono ushoga. Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, ameliambia NIPASHE Jumapili ofisini kwake jijini hapa jana kuwa ushoga na hai za ndoa kwa watu wa jinsia moja vinaweza `kuiharibu’ ziara yake hapa nchini. Mapema wiki hii, Rais Obama alikaririwa akizungumzia masuala hayo yanayotajwa kuwa ni moja ya haki za msingi za binadamu, alipokuwa Senegal, lakini akapingwa. “Watanzania hawatalikubali na wataendelea kushikilia uhuru na heshima walizojengewa tangu awali, kwamba ushoga na ndoa za jinsia moja...
KAMERA ZA JUMBA LA BIG BROTHER ZAMUANIKA POKELLO WA ZIMBABWE AKIWA MTUPU ....
![](http://1.bp.blogspot.com/--aBiQGurP-E/Uc_pVHFKfRI/AAAAAAAAiUg/-FDm83rmkC4/s560/1.jpg)
Mshiriki wa Zimbabwe ( POKELLO ) katika shindano la Big Brother Africa amejukuta akiumbuka tena baada ya kamera za jumba hilo kumuanika akiwa mtupu kama alivyozaliwa ndani ya mabafu ya jengo hilo... Hii ni nafasi nyingine ya kipekee kwa wafuatiliaji wa shindano hilo ambao hawakubahatika kuiona sinema hiyo ya bure. Kuitazama video ni sharti uwe mtu ...
WAPENZI WADONDOKA NA KUFA WAKATI WAKIFANYA MAPENZI DIRISHANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-xzXIdLeMT9g/Uc_ft2zXVgI/AAAAAAAAiUI/QYdzuV5y2Hc/s560/2.jpg)
Wapenzi wameanguka na kufa baada ya dirisha walipokuwa wakifanyia mapenzi kufunguka ghafla nchini China. Wawili hao wanasemekana kudondoka kutoka kwenye dirisha la jengo moja la makazi kwenye jiji la Wuhan nchini humo pale dirisha hilo walilokuwa wameegemea kufunguka. Mashuhuda walivieleza vyombo vya habari vya China kwamba wapenzi hao walikumbatiana wakati wakianguka kwenye njia ya waenda kwa miguu nje. Kwa mujibu wa The Sun, chanzo kimoja cha habari kilisema: "Huku wawili hao wakiwa wameshikamana vilivyo, walianguka nje ya jengo hilo." Picha za kuogofya zimefichuliwa kwenye tovuti za nchini humo zikionesha wapenzi hao wakiwa wamefunikwa...
BINTI AOZA MKONO BAADA YA KUANGUKA KATIKA BAISKELI....MADAKTARI WAMESHINDWA KUUPONYA, MAOMBEZI YAHITAJIKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-a6DBakf-sGo/Uc_cClLjxJI/AAAAAAAAiTw/oNzCMdzYG4A/s560/1.jpg)
Janeth Nicholaus (25)mkazi wa Rwanzari Manispaa ya Tabora akionesha mkono wake wa kulia ukiwa tayari umeanza kuoza baada ya kupata ajali ya baiskeli maarufu daladala wakati akitokea nyumbani kwenda Soko kuu la Tabora mjini ajali ambayo ilitokea kwenye makutano ya barabara ya NBC. Huu ndio mkono wenyewe unavyoendelea kuharibika baada ya kupita hospitali kadhaa hapa Tabora mjini na kushindikana kupona lakini sasa aliamua kufika kwenye huduma ya Maombezi Kanisa la AGAPE MIRACLE CENTER Mwanza road Tabora manispaa kwa Mchungaji Mbagata. NA KAPIPIJ...
MWANAUME AKATWA MAPANGA AKIDAIWA KUCHUKUA MKE WA MTU HUKO TABORA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZNwke_kj79A/Uc_aEcraCEI/AAAAAAAAiTg/u2W6y1EQmTM/s560/1.jpg)
Ramadhani Mahanga ambaye amenusurika kuuawa baada ya kukatwakatwa mapanga na kijana mwenzake anayefahamika kwa jina la Juma Hamisi ambaye alidai anatembea na mkewe na hivyo kuchukua uamuzi wa kutaka kumuua katika kijiji cha Isenga manispaa ya Tabora. Baba wa kijana Juma Hamisi ambaye anadaiwa kumkatakata mapanga Ramadhani Mahanga akiwa amekwenda kumjulia hali katika Hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete ambako amelazwa kwa ajili ya matibabu. NA KAPIPIJ...
"BODA BODA NI SERA YA CCM KUSAIDIA VIJANA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA "..LOWASSA
![](http://1.bp.blogspot.com/-OOXiJx89CXw/Uc_Wkv6IdcI/AAAAAAAAiTQ/cI-OomJOcUs/s774/LOWASSA.jpg)
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda ni sera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kusaidia kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana.Akizungumza katika haraambee na uzinduzi wa mfuko wa waendesha pikipiki maarufu mkoani Arusha, Lowassa alisema sera hiyo ni ya kuwakomboa vijana.Alisema kuwa kitendo cha wafanyabishara wa Arusha kujipanga kusaidia bodaboda ni mfano kwa wafanyabishara wengine nchini.“CCM ni chama kinachotetea wanyonge, na nyinyi ni wanyonge mnaohitaji kunyanyuliwa kimaisha, kitendo hiki cha wafanyabisharaa wa Arusha ni cha kuunga mkono sera ya CCM,” alisema.Lowassa...
No comments:
Post a Comment