
Msanii wa filamu bongo,Baby Madaha amefunguka kwamba siku
akianza kuona dalili za ugonjwa wa UKIMWI ndani ya mwili
wake atakunywa sumu kwa kuhofia kuchekwa na jamii.
Akiongea na mwandishi wetu,Madaha amedai kuwa kwa sasa anaamini
hana ngoma maana siku zote hutumia Kinga (kondom) ili
asiambikizwe gonjwa hilo japo hana uhakika asilimia zote
maana ...
AGNESS MASOGANGE AFUTIWA DHAMANA YAKE NA KURUDISHWA RUMANDE

HUKU akiwa hajui nini hatima ya kesi inayomkabili ya kunaswa na madawa
ya kulevya nchini Afrika Kusini, Video Queen Agnes Gerald ‘Masogange’
amepata balaa jipya
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho kipo nchini humo, Masogange na
mwenzake aliyekamatwa naye, Melisa Edward wamefutiwa dhamana hivyo
wamerudi tena rumande.
Habari zinadai kuwa, dhamana za wawili hao zimefutwa kufuatia
kuhisiwa kwamba wana mpango wa kuondoka nchini huko kinyemela na kurejea
Tanzania, jambo ambalo limetafsiriwa kama jaribio la kuikimbia kesi
hiyo.
“Unajua huku Sauzi si kila mtu anawaonea huruma Masogange na
Melisa kwa tatizo lililowapata, sasa...
MSHIRIKI WA TANZANIA ( NANDO ) ATIMULIWA BIG BROTHER BAADA YA KUGOMBANA NA MSHIRIKI MWENZAKE

Jana
usiku mara tu baada ya Sulu na Annabel kutolewa kwa kura za watazamaji,
Big Brother aliwaita washiriki pamoja katika kikao cha dharura kufuatia
ugomvi uliotokea kati ya Nando na Elikem. Itakumbukwa kwamba
siku ya ijumaa ilitokea hali ya kutoelewana kati ya Nando na Elikem.
Wawili hawa walitukanana sana na kutishiana mno. Ugomvi huo ulianzishwa
na Nando. Kwa mujibu wa sheria za Big Brother mwaka huu, kuanzisha ugomvi ni kosa ambalo hupelekea kupata 'strike' ama onyo.
3 strike rule ni mtindo unaotumika msimu huu. Kwa mujibu wa Big
brother, yeyote atakaye fanya makosa matatu makubwa na kupewa maonyo
matatu basi moja kwa moja...
"SIJAWAHI PIGA PICHA ZA UCHI...NIMEMFAHAMU SINTAH KUPITIA SKENDO YA KUGAWA PENZI KWA NATURE"...RAYUU AFUNGUKA TENA

Jana, Bongomovies.com imefanya interview kwa
njia ya simu na mwanadada msanii Rayuu alaice Bungenzi kuhusiana na mambo
mablimbali yanayoandikwa kwenye mitandao na tovuti mbalimbali nchini.
Katika interview hiyo waliweza kupata mambo manne kama ifuatavyo:
1. Hajawai kupiga picha za utupu na kuzisambaza ili kupata umaarufu
Akiongea kwa msisitizo Rayuu amesema kuwa hajawai kupiga picha
za utupu na kuzisambaza kwenye mtandao kwa ajili ya kupata umaarufu.
“Sijawai kusambaza picha za utupu ili nipate umaarufu, hizo
picha kweli ni zangu na ukizitazama vizuri sio picha za utupu kama watu
wanavyosema(?????),...
"NIKIKUTA NINA VIRUSI VYA UKIMWI NI LAZIMA NIJIUE MAANA SIPO TAYARI KUCHEKWA".....BABY MADAHA
Msanii wa filamu bongo,Baby Madaha amefunguka kwamba siku
akianza kuona dalili za ugonjwa wa UKIMWI ndani ya mwili
wake atakunywa sumu kwa kuhofia kuchekwa na jamii.
Akiongea na mwandishi wetu,Madaha amedai kuwa kwa sasa anaamini
hana ngoma maana siku zote hutumia Kinga (kondom) ili
asiambikizwe gonjwa hilo japo hana uhakika asilimia zote
maana ...
No comments:
Post a Comment